Waumini wa kiislamu wafurika misikitinI kwa ibada ya ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa ramadhan
145
1 view
Waumini wa dini ya kiislamu leo wamefurika misikitina kwa ibada ya ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Misikiti mbalimbali inashuhudia ongezeko la waumini tangu mfungo uanze huku wito wa amani na kusaidia wasiojiweza katika jamii ukikokotezwa
There are no reviews yet.